Hivi sasa hakuna asiyetambua ni kiasi gani kazi za sanaa
zinaripa kwa kiasi kikubwa sana ili kuweza kuchuma matunda ya kazi za sanaa ni lazima msanii kuwa na mawazo
chanya ya kufanya kazi zenye ubora mkubwa sana.
Wazo la kufanya kazi zenye ubora halikumpita mkali wa miondoko ya hip
hop MASOSO nakuamua kudondosha track
aliyoibatiza jina la #SEKEMA miezi kadhaa nyuma
na kuipa nafasi ya kusumbua katika chati tofauti tofauti za redio bila
kusahau sikio lako mpenzi wa muziki kutokana na ubora wa ngoma hiyo.kupitia hiyo video hapo chini masoso anatuonesha jinsi ambavo ameliamsha dude na hivi karibuni huenda akachia video ya wimbo wa sekema wewe kama shabiki wa sekema kaa tayari kuipokea chupa hiyo.
Tazama video hapo chini kuona masoso alivyoliamsha dude alafu dondosha coment yako.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni