Good news Rayvanny na mpenzi wake Fahyma wapata mtoto

Staa wa muziki wa kizazi kipya rayvanny hit wa kwetu kutokea WCB wasafi na mpenzi wake Fahyma wapata mtoto.
Taarifa hiii njema imetolewa leo tarehe 17 april Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram.

“Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto NAKUPENDA!!,” ameandika msanii huyo wa WCB.

bongobass tunatoa pongezi zetu dhati kwa wawili hao
Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social

LAST YEAR POST

FACEBOOK PAGE