Baada ya kusubiri kwa muda mrefu kuingia sokoni kwa perfume ambayo inamilikiwa na msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz (Chibu Perfume) hatimaye the wait is over.
Kupitia kurasa ya instagram ya Diamond Platnumz,
ametusanua kwamba kuanzia wiki ijayo perfume hiyo itakuwa sokoni na
tayari kabisa kufika kwa walengwa na kuanza kutumika kitaani.
Home »
» Itegemee Chibu Perfume Kitaani kwako Wiki Ijayo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni