Baada ya tetesi kuzagaa kitaani kuwa Jux na Vanessa Mdee wameachana
kimya kimya, kumekuwepo na maneno mengi, mara eti penzi lao la mbali
ndio chanzo cha kuachana kwao ?
Kwenye interview na #Sammisago on #FridayNiteLive Jux amefunguka nakusema “Kwanza nataka kukusahihisha kuwa mimi sio SINGLE BOY, niko na mtu ,kuhusu Vanessa kama nipo naye Thats My Business ”
Jux pia amesema hakujua kuhusu stori hizi mpaka alipofika kwenye interview na Sammisago.
Home »
» Jux; mimi sio SINGLE boy, je yupo na Vanessa au
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni