Makamu Mwenyekiti
wa Jukwaa la Waharir{TEF} Deudas Balile, amesema kuwa, kitendo cha
kulifungia gazeti la Mawio ni kinyume cha sheria hivyo na kwamba ni
vyema Wizara ikawa mlezi na kufanya majadiliano na vyombo vya habari ili
kuwezesha uhuru wa habari na utawala wa sheria kufuata mkondo wake.
Tamko hili limetolewa ikiwa ni siku
chache baada ya serikali kufungia gazeti la MAWIO kwa kile kilicho daiwa
kukiuka baadhi ya vifungu vya sheria katika sheria mpya ya huduma za
habari ya mwaka 2016 kuwa sio kweli, kwani vifungu vya sheria hiyo
vinataka Waziri kupeleka madai Mahakamani ili iamuliwe endapo nikosa
kisheria.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni