Siamini Kama Mji Wangu #MbeyaCity Mmenichoka Au Ni baadhi Ya Wachache Watakao Kunikatisha Tamaa Kwa Kile Nafanya...Hivi Ni Kweli Mbeya Hamjui Mchango Wangu Kwenu Naongea na Wewe Presenter,Mdau,Msanii na Si Shabiki Ambaye mnataka kumfanya Akose imani na Mziki wangu au na Mimi #Zax.... Ni Nani amewai jitolea kunisaidia kwa kuona juhudi Zangu ninazofanya akasema sasa Zax njoo hapa tufanye hivi na hivi then uwe pale kama si juhudi zangu na Mashabiki zangu ambao wanafanya niangaike kila siku kwa kujitoa ufahamu wangu ili tu niwe sawa nao ila si kwa wale walokazana niondoke mbeya na kusema nafeli kwakuwa nawaza tu kimbeya mbeya...hivi ni Nani alijua kutembea bila kufundishwa??? Kwa Leo naishia hapa Nina muda Wa masaa kama 48 kumaliza hili jambo....jiulize una msaada gani kwangu then judge me....