Ben
anasema imefika wakati hata anapoulizwa au kuelezea jambo kwenye vyombo
vya habari anakuwa makini kwa kuhofia kukaa roho juu kwa kuwa hafahamu
baada ya hapo watu wa mitandaoni wataamka na taarifa zipi kuhusu yeye.
“Unajua baadhi ya mitandao wanakuuliza
jambo fulani, ukifungua simu utashtuka mwenyewe jinsi wanavyoandika,
yaani nakuwa na wakati mgumu sana,” alisema Ben Pol.
Hivi karibuni msanii huyu amekuwa
akiandamwa na maneno mengi mitandaoni toka alipopiga picha za 'cover' ya
wimbo wake wa tatu akionekana sehemu kubwa ya mwili kuwa tupu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni