Demetrius Shipp Jr anasema amefurahishwa na mapokezi ya filamu ya All Eyez On me mjini Hollywood ila hata fanya tena filamu kama 2 Pac.
Hii ni tofauti kidogo na alichofanya mwenzake Jamal Woolard aliyeigiza filamu tatu kama Notorious B.I.
Demetrius anasema kuigiza kama 2 Pac ni mwanzo tu,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni