Vanessa Mdee afanya kazi na producer Diplo wa Major Lazer, Diplo katengeneza hits za wasanii kama Beyoncé,Justin Bieber,Usher,Wale,Big Sean,Snoop Dogg na Chris Brown

Bongo Fleva Diva Vanessa Mdee ametuonyesha picha akiwa na wasanii wa Major Lazer wakifanya video ya colabo yao na producer Diplo pia ameonekana.

Colabo hii ni ya msanii wa Major Lazer kutoka Jamaica ‘Walshy Fire’ FT Vanessa Mdee, Diplo na Walshy Fire walikutana na V Money Nigeria wakati wanfanya show ya tamasha la Gidi.

 Colabo hii ni ya msanii wa Major Lazer kutoka Jamaica ‘Walshy Fire’ FT Vanessa Mdee, Diplo na Walshy Fire walikutana na V Money Nigeria wakati wanfanya show ya tamasha la Gidi.

 Picha ya V Instagram ikiwa na ujumbe >>WORLDWIDE x x @diplo @walshyfire Happy Easter #MajorLazer #VeeMoneyIfYouNasty.”

Post ya Diplo ilisema >>US to TZ @vanessamdee.”

Ni mchongo mkubwa kwa V Money sababu Producer Diplo ni miongoni mwa producer wakali na matajiri Duniani, anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola milioni 26.
Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social