Akiwa katika mapumziko ya tour yake ya Party Tour kwa ajili ya Tampa’s AJA, Tmz wameripoti kwamba kuonekana kwa Chris Brown ndani ya klabu hiyo kulisababisha matatizo kwa mpiga picha Bennie L. Vines ambaye alikutana na kichapo kutoka kwa Chris Brown baada ya kuvuka mipaka.
Mpiga picha amethibitisha kwamba ameshafungua mashitaka na malipo kuhusu tukio hilo, japo Chris Brown pamoja na team yake inasemekana walikimbia kabla ya polisi kufika kwenye tukio hilo,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni