Dunia ya leo ukiwa maarufu na una pesa hakuna linaloshindikana!! Msemo huu umetokea baada ya Rapa Tyga kumwagana na Mrembo Kylie Jenner
lakini cha kushangaza ni muda mfupi tu umpita tangu wavunje mahusiano
na mrembo Kylie,Sasa amemuonesha kwa mara ya kwanza Girlfriend wake mpya
kwenye mitandao ya kijamii.
Tyga na Kylie Jenner walizinguana
kwa ishu za usaliti baina yao kitu ambacho wawili hao walikuwa wa kimya
na kila mmoja wao akiwa single mpaka siku ya leo Tyga
alivyoamua kuonyesha ulimwengu ubavu wake kwa kuopoa mrembo huyo ambae
jina lake halijajulikana mpaka sasa ingawaje mitandao mingi imedai kuwa
ni Model,
Tazama picha za mrembo huyo akiwa na Tyga jana kwenye Mgahawa wa Serafina Sunset huko Los Angeles,Marekani
Home »
» TAZAMA RAPA TYGA AKIWA NA CHOMBO KIPYA BAADA YA KUTEMANA NA KYLIE JENNER
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni