Rapa Lil Wayne amezungumzia uhusiano wake na Jay Z kupitia lebo yake ya Roc Nation….Kwenye interview aliyofanyiwa Wayne anasema
Lil Wayne “Niko na Roc Nation kwa sasa, Jay Z ni mtu mzuri, kaniita na kuniambia ‘Wayne’ nitakusaidia kwa namna yoyote niwezayo“.
Lil Wayne amenyoosha maelezo kuwa bado hajakamilisha taratibi za kutoka Cash Money….
Home »
» Lil Wayne; Jay Z amejitolea kunisaidia tu kwa nguvu zote alizonazo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni