Harmorapa alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, na kudai yeye hajui maumivu ya mapenzi kwa kuwa hajawahi kuachwa na mwanamke.
"Hapana mimi sijawahi
kutoswa, kuachwa na mwanamke haijawahi kutokea kwangu, mimi ndiyo huwa
nawaacha ila si kuachwa" alisema Harmorapa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni