Baada ya picha za Tyga na mwanamitindo Jordan Ozuna kusamba mitandaoni, staa huyu aliyewahi kufanya kazi na Kanye West amesema hana mahusiano na Tyga,
Jordan Ozuna na Tyga walionekana Serafina Sunset huko West Hollywood na baadae tetesi kusamba kuwa ni mpenzi mpya wa Tyga.
Home »
» Model Jordan Ozuna akanusha kuwa na mahusiano na Tyga
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni