Kwenye mahojiano na kipindi cha hiphop rapa The Game amesema alichukua
hatua ya hatari sana kwenye maisha yake ya muziki alipoamua kupekua
computer ya producer Dr Dre bila ruhusa yake.
The Game anasema “Dr Dre alikuwa kwenye mkutano na nilipekua
computer yake na kukuta folder la beat, nilisikiliza kadha na
kubadilisha na kuikubali beat ya “How We Do,” ambayo wakati huo ilipewa
jina “Fresh ’83”.”
Rekodi ya How We Do ni miongoni mwa ngoma zilizomtambulisha The Game, ilikuwa colabo na 50 Cent.
Home »
» Hatua hatari aliyochukua The Game ilikupata beat ya The is how we do
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni