AMBER Rose alikuwa amewashtua mashabiki wake na kuanza kujiuliza kama
alikuwa amekusudia kutangaza rangi ya mdomo au alilenga kuanika chuchu
zake kwa makusudi.
Katika picha aliyoweka kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram,
alionekana mwanamitindo huyo akilamba rangi yake ya mdomo, huku maziwa
yake yakiwa nje na kufanya mashabiki wake kuachana na rangi iliyodaiwa
kwamba alikuwa anaitangaza na kukodolea chuchu za mlimbwende huyo.
Mashabiki wa mrembo huyo ambaye zamani alikuwa anacheza mtupu,
walianza kumiminika na kutoa maelezo kila mmoja alivyojua yeye,
wakionyesha kupagawa na picha hiyo.
Mmoja aliandika: “Mtoto hatari kama malaika, ana chuchu nzuri.” Huku
mwingine akiongezea: “Mmoja wa mademu ninaowakubali sana na wazuri na
leo ameamua kutusafisha macho.”
Shabiki wake wa mwisho alikiri kwamba msichana huyo anajua kuwaweka
roho juu mashabiki wake: “Picha nzuri, mwanamke mzuri, chuchu nzuri,
umejua kututega.”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni