Msanii wa miondoko ya hip hop kutoka nyanda za juu kusini mbeya masoso anatarajia kuachia ngoma mpya hivi karibuni baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa kupita.
kupitia mtandao wa facebook hit maker huyo wa sakema amewataarifu mashabiki wa muziki wake na wote wanaopenda muziki kutoka nyanda juu kusini mbeya kwa kupost picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya "Some thing bigger #loading......@nimasoso #SEKEMA" akiashiria ujio wa ngoma yake mpya.
staa huyo hivi sasa anafanya vizuri na ngoma yake inatwa sekema
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni