The Weeknd na Selena Gomez mambo mubashara

Mapenzi ya Selena Gomez na The Weeknd sasa ni mubashara tu, hakuna tena noma.



Ni muda mrefu kidogo tangu wawili hawa kuwaona wakiwa katika mahusiano ya kimapenzi japo hawakuweka wazi kipi ambacho kinaendelea baina yao, ila siku zote bhana mapenzi huwa hayajifichi, Good Newz ni kwamba wawili hao walionekana kwenye tamasha la  Coachella wakiwa wamejiachia juu ya penzi lao.
Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social