Nicki Minaj, natoa colabo kali kabla ya ngoma zangu kali….

Nicki Minaj anamalizi vimeo vya wasanii waliokuwa kwenye orodha ya colabo zake mwaka huu, this time amezama studio na kundi la DNCE na kukamilisha colabo yao ya “Kissing Strangers,” inayotoka ijumaa ya April 14.


 Ukiacha “Kissing Strangers” Nicki tayari kafanya colabo na Jason Derulo “Swalla,”, Gucci Mane “Make Love,” na David Guetta “Light My Body Up.”

Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social