Mariah Carey afungua lebo yake, Butterfly Mc Records

Rnb na Pop staa Mariah Carey amefungua lebo ya muziki itakayosimamia album zake mpya, lebo hii imepewa jina Butterfly Mc Records.




Baada ya kufungua lebo hio Mariah ametangaza kufanya kazi na L.A. Reid boss wa Epic Records kupitia lebo hio kutoa album yake mpya.

Mwezi wa pili mwaka huu Mariah alitoa wimbo na YG “I Don’t” ambao ulifanyiwa remix na Remy Ma, producer wa rekodi hii alikuwa Jermaine Dupri.
Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social