Picha,WCB Wasafi wanangoma ya kundi, wameshafanya video

Wasafi wanasema ‘Kama mpo tayari walitoe ngoma lao jipya’.


Ni kundi lenye wasanii wakali kwenye bongo fleva Tanzania, Talk about Diamond Platnumz, Harmonize, Rich Mavoko, Rayvanny, na first lady Queen Darlen.

Kwenye instagram za wasanii hawa kuna hizi picha kuhusu ujio wa ngoma ya kundi…. Je Diamond atasikika kwenye rekodi hii au itakuwa wasanii wake tu ?


Kutoka kwa Queen Darlen

>>Kamakujamba wa Shajama Sana Boss @babutale Boss@mkubwafellatmk Boss @sallam_sk Boss @diamondplatnumz Tufumue tu kama Vp #MudasiorafikiwaBinaDam#duuuuuuuuushwa




Kutoka kwa Rich Mavoko
>>Haya Mkimaliza Mambo Zenu Za Siasa Mtupe Tarehe Na Sisi Tufumue Hiii #Showme


 Kutoka Kwa HARMONIZE
>>MKISHA MALIZA SHUGHULI ZENU MTATUPA RUHUSA LINI TULIAMHSE DUDE…….!!!!! TUFUMUE HII #SHOWME 

Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social