Wakili wa wakala aliyeuza gari hilo amemchana Davido instagram kuwa cheki yake imegoma kupita kutokana na kutokuwa na hela kwenye account yake ya benki, kiasi cha Naira milioni 7 za Nigeria ambazo ni kama 51,148,696 za Tz.
Davido alinunua gari aina ya Mercedes Benz GLE 450.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni