NEW MUSIC VIDEO Ni masoso Ndio Nafika

Umoja wa #purehustler's (eckuthebest) &Essem_creator(essem_record imetoa zawadi katikati ya hizi skuku pamoja na maandalizi ya kuupokea mwaka mpya 2018 ikiwa ni kushukiru kwa support mlio ionyesha kwa kijana wao #nimasoso hawana budi kusema asante napia msichoke mwakani kuna mengi yanakuja . kuendelea kujua mengi kuhusu masoso usikose kutembelea website yetu kila siku.


 BONYEZA KITUFE HAPO CHINI KUITAZAMA NA KUIPAKUA VIDEO MPYA KUTOKA KWA MASOSO.
                                        

Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social