Kwenye mahojiano na kituo cha E News
cha Nchini Marekani, Nikki Bella alisema hafikirii kuwa na mtoto kwa
sababu John Cena hataki kuwa baba majibu ambayo alitoa baada ya
kuulizwa swali kuhusu kuanzisha familia na mchumba wake John Cena.
“Sifikirii kuhusu kuwa na mtoto
kwa sababu najua cena hataki kuwa Baba, Cena alizungumza hili mda mrefu
aliniambia anataka kunioa, lakini nisifikilie kama anataka kuwa Baba”. Alisema mchumba wa John Cena Nikki Bella.
Nikki Bella & John Cena
Cena na Bella ni ‘couple’ zinazo
tazamwa kwa jicho la tatu na vyombo vya habari vingi sana duniani ambapo
mara baada ya tukio la kuvalishwa pete kila kukicha vimekuwa zikiandika
habari zinazowahusu wapendanao hao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni