Msaniii na mtangazaji wa redio kutoka nyanda za juu kusini anayetamba sana na wimbo wake wa bashee baada ukimya wa muda mrefu bila kuachia track yoyote takribani mwaka mmoja na nusu sasa umepita toka atuwekee sikioni track ya bashee.
Kupitia ukurasa wake wa facebook chriss bee ameamua kuvunja ukimya huo kwa kuwawekea mashabiki wa muziki wake post inayoashiria ujio wa ngoma yake mpya kwenye ukurasa huo chriss bee ameweka ujumbe huu na picha hii ha chini...
"Kesho
naachia rasmi ngoma yangu Mpya........ na Itapatikana Katika mitandao
yote..... Hii ni baada ya kukaa mwaka Mmoja na nusu bila kuachia
ngoma.....kutokana na matatizo kadhaa....... #SAFARI"
hii ndio habari njema kwa mashabiki wa muziki wa chriss bee.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni