(New Story) Rapper kutoka nchin USA, Quavo ametangaza kutoa albam yake



Rapper Quavo kutoka kundi la The Migos nchin Marekani amewashangaza mashabiki wake pamoja na mashabiki wa kundi la The Migos baada ya kuachia nyimbo tatu peke yake mwezi uliopita, nyimbo hizo ni  "Bubble Gum," "Lamb Talk," and the Murda Beatz-produced "Workin Me."  , kitendo ambacho kimepelekea mashabiki kujiuliza maswali mengi juu ya kile alichokifanya Quavo. The Migos wamethibitisha awanaugomvi wowote na Quavo Baada ya kutangaza juu ya ujio wa albam ya Quavo kama solo albam ambayo itatoka kabla ya mwezi huu kumalizika.
Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social