Ni masoso kuja na biashara ya t-shirt

 Baada ya kufanya vizuri na ngoma ya zake kama SEKEMA na KULIKO msanii wa muziki wa hip hop MASOSO ameamua kuja na t-shirt ambazo zimebeba majina ya ngoma hizo.


Kupitia ukurasa wake wa intagram na facebook masoso amepost picha akionesha tshart hizo kwa mashabiki zake. kama bado hujaziona tazama hapa chini alichopost msanii huyo.


Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social