Jay Z apokea matusi kwa kitendo hichi alichofanya

Jay Z amefanya jambo lililoshtua wengi baada ya staa huyu kutoa muziki wake kwenye tovuti za Spotify na Apple ili watu wasikilize kazi zake kwenye TIDAL yake tu…




Vyombo vya habari Marekani vimepokea taarifa hii vibaya na kumtusi staa huyu wakimuita “Messy b*tch” kwa kitendo hicho cha ubinafsi kwenye biashara.

Spotify na Apple ni mitandao inayoshindana na TIDAL ya Jay Z na kufanya hivyo ni kupunguza namba kubwa ya watu kuingia kwenye mitandao hio haswa wanaotaka muziki wa Jay Z, Taylor Swift ni miongoni mwa wasanii waliofanya hivyo pia mwaka jana.
Share:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Social