New AUDIO | Bob Haisa-Unisamehe (kisukuma) | Download

"Mzee Nelson Mandela alikuwa Mwalimu wa somo la Msamaha najifunza mengi kutoka kwa mja huyu na tarehe 15/12/13 ni siku ya safari yake kwenda kwenye marejeo yake.Nimeuchagua wimbo wa Msamaha uwe sindikizo lake na kwa msisitizo naweka toleo la unisamehe niliouimba kwa lugha ya kisukuma.R.I P Madiba" Bob Haisa












 Download
Share:

Maoni 1 :

Social